Nyumba ya vyumba 6 inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Mbweni, Kinondoni, Dar Es Salaam
8 days ago
$ 2,500 per month
Aina
Nyumba
Vyumba
6
Maelezo
Nyumba inapangishwa iko mbweni
Jkt inavyumba sita [ 6) kila chumba
Kina masta ni nyumba mpya
Kwa mwezi usd dola .2500.
Namba ya ufunguo
0753450450.
