Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Bunju Beach, Dar Es Salaam
Bunju, Dar Es Salaam
20 days ago
Sh. 800,000,000
Maelezo
JUMBA LA KUMALIZIA UJENZI,TZS.800 MILIONI, BUNJU BEACH.
Ni Ghorofa ya SAKAFU 2.
Lina jumla ya vyumba vya kulala 6
(Kila chumba na Choo chake ndani.
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia cha ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.2,042.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara
WAHI NI JUMBA HADHI YA JUU.
__________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
_________________zw















