Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
6
Bafu
6
Ukubwa
2500 SQM
Barabara ya Karibu
200m
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 NYUMBA YA KIFAHARI INAUZWA – KIGAMBONI KIBADA
Nyumba nzuri sana yenye muonekano wa ghorofa inauzwa Kigamboni Kibada.
Ina vyumba sita (6) vyote Master, sebule kubwa, dining pamoja na jiko la kisasa.
✨ Sifa za Nyumba:
• Vyumba 6 vyote Master
• Sebule kubwa na Dining
• Jiko la kisasa
• Servant Quarter ya vyumba 2
• Kisima cha maji
• Eneo la Swimming Pool
• Full AC
• Full Paving
• Kiwanja kikubwa sana – SQM 2,500
#trendingvideo #istagram #tanzania #realestateforsale #vairalvideo
• Umbali wa mita 200 kutoka barabara kuu ya lami
💰 Bei: Bilioni 1 na Milioni 200 (Tsh 1.2 Billion)
📌 Maongezi yapo kwa mnunuzi serious.
📞 0769554221















