Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Mbezi Beach Masana Juu, Dar Es Salaam (350 sqm)









Aina
Nyumba
Vyumba
6
Ukubwa
350 SQM
Barabara ya Karibu
3km β Goba Road
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba kubwa mno inauzwa, ipo karibu na lami.
Ipo πDar es salaam. Mbezi Beach Masana juu. Goba Road. Dakika 3 kutoka lami.
Ina vyumba sita vyote vinawapangaji.
Ipo barabara ya mtaa. Inafikika vizuri sana
SQM 350
BEI: TZS 65 Million (Maongezi yapo)
Full documents β
οΈ
Tupigie 0767 891 406 // 0785 682 800
#luganoorealestateagency















