Tafuta

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam (1000 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 250,000,000

Aina

Nyumba

House for sale in Mbezi

Vyumba

6

6 bedroom House for sale in Mbezi

Ukubwa

1000 SQM

Barabara ya Karibu

1km โ€” Morogoro Road

Huduma na Sifa

Maelezo

FOR SALE 250,000,000/= ๐Ÿ’ฅJUMBA LA KISASA KUBWA

BANGALOO KUBWA ZURI LENYE HATI MMILIKI LINAUZWA MILIONI MIA MBILI NA NUSU (250,000,000/= ) MILION

๐Ÿ’ฅ NYUMBA HII KUBWA LA KISASA LINA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 6 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA

#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET ZIPO MBILI YAANI JUU GORAFANI NA CHINI PIA
STORE ZIPO 2
MAKABATI YA NGUO VYUMBANI

NYUMBA HII INA HATI MILIKI

UKUBWA WA ENEO NI:- SQUARE METER 1000

BEI YA KUUZWA NYUMBA HII NI SHILINGI MILIONI 250M MAONGEZI YAPO KIDOGO

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ NYUMBA HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA

NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NDANI ANALIPA KODI SHILINGI LAKI 8 (800,000/= TSH) KWA MWEZI

๐Ÿ’ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30

Nasoni Real Estate Agent

dalali_msewe_riverside_bucha_5

@dalali_msewe_riverside_bucha_5

View Listings

Matangazo mengine Mbezi, Dar Es Salaam

Nyumba inauzwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Sh. 800,000,000

For Salehouse
Nasoni Real Estate Agent