Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Pwani Mchangani, Ruvuma









Aina
Nyumba
Vyumba
6
Barabara ya Karibu
270m
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA/BANDA INAUZWA PWANI MCHANGANI
#unguja #zanzibar
Umbali kutoka Kiwanja kilipo mpaka Barabarani Mita 270
Umbali Kutoka Kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani 1Km
Vyumba 6 (Master 1)
Dining Roo
Sitting Room
Jiko
Stoo, Public Toilet
Ukubwa Ft 55x77
Bei Tsh 65m
NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za Kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki Kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka Kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni 1Km
What’s App/Call 06530007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake



