Tafuta

Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Goba, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Sh. 1,800,000,000

Maelezo

HOUSE FOR SALE;

LOCATION: Goba

Unatafuta nyumba kubwa, ya kisasa na yenye nafasi ya kutosha kwa familia yako? Hii ni fursa ya kipekee!

Kiwanja: SQM 2,500
Nyumba Kuu: Vyumba 5 — vyote Master Bedroom
Sebule kubwa
Dining kubwa
Jiko kubwa na lenye nafasi ya kutosha
Nyumba ya Pembeni:
Vyumba 3
JUMLA: VYUMBA 8

Na bado kuna zaidi!
🏊‍♂️ Swimming Pool
Uwanja wa Basketball
Eneo kubwa na mazingira yanayofaa kwa familia na mapumziko.

BEI: TSH BILIONI 1.8
Nyumba hii ni zaidi ya makazi — ni lifestyle ya kifahari kwa familia yako.
📞 Kwa maelezo zaidi na kuiona nyumba, wasiliana nasi.

Contact📞 Contact:�

Mohammed Kilala

dalali_mbezi_kibaha_mpiji

@dalali_mbezi_kibaha_mpiji

View Listings

Matangazo mengine Goba, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Goba Center, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Sh. 1,800,000,000

For Sale8 beds2,500 sqmhouse
Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Goba, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Sh. 1,800,000,000

For Sale8 beds2,500 sqmhouse
Mohammed Kilala