Tafuta

Villa ya vyumba 8 inauzwa Dar Es Salaam (2500 sqm)

 media -1
media -1
Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 1,800,000,000

Maelezo

🏑✨ NYUMBA YA KIFAHARI INAUZWA β€” INAFAA KWA FAMILIA YAKO! ✨🏑

Unatafuta nyumba kubwa, ya kisasa na yenye nafasi ya kutosha kwa familia yako? Hii ni fursa ya kipekee! πŸ”₯
πŸ“ Kiwanja: SQM 2,500
🏠 Nyumba Kuu: Vyumba 5 β€” vyote Master Bedroom πŸ›οΈβœ¨
πŸ›‹οΈ Sebule kubwa
🍽️ Dining kubwa
🍳 Jiko kubwa na lenye nafasi ya kutosha
🏠 Nyumba ya Pembeni:
πŸ›οΈ Vyumba 3
πŸ”₯ JUMLA: VYUMBA 8

Na bado kuna zaidi! 😍
πŸŠβ€β™‚οΈ Swimming Pool
πŸ€ Uwanja wa Basketball
🌳 Eneo kubwa na mazingira yanayofaa kwa familia na mapumziko.

πŸ’° BEI: TSH BILIONI 1.8
✨ Nyumba hii ni zaidi ya makazi β€” ni lifestyle ya kifahari kwa familia yako.
πŸ“ž Kwa maelezo zaidi na kuiona nyumba, wasiliana nasi.

SITE VISIT 50,000
Contact

Call 0746 433 854

Matangazo mengine Dar Es Salaam