Tafuta

Apartment ya vyumba 9 inauzwa Kigamboni, Fani City, Dar Es Salaam (800 sqm)

video thumbnail
Sh. 165,000,000

Maelezo

🏒 APARTMENTI ZA BIASHARA ZINAUZWA – KIGAMBONI, FANI CITY 🏒

Fursa adimu ya kuwekeza kwenye biashara ya nyumba za kupanga! Apartmenti hizi tayari zimekamilika na ziko tayari kuanza kukuletea mapato mara moja.

✨ Muundo wa Apartmenti:
βœ… Jumla ya apartmenti 4
βœ… Apartmenti 3 zenye vyumba 2, sebule na jiko
βœ… Apartmenti 1 yenye vyumba 3 (kimoja Master), sebule na jiko

🏑 Sifa za Kiwanja na Miundombinu:
βœ”οΈ Eneo takribani SQM 800
βœ”οΈ Full paving
βœ”οΈ Kisima cha maji
βœ”οΈ Umeme na wiring zimekamilika
βœ”οΈ Milango, madirisha na vioo vyote vimefungwa
βœ”οΈ Tayari kwa kuingiza wapangaji – hakuna gharama za ukarabati

πŸ“ Mahali: Fani City, Kigamboni
β€’ Kilomita 1 kutoka barabara ya lami
β€’ Kilomita 12 kutoka Feri
β€’ Kilomita 11 kutoka Daraja la Nyerere

πŸ“„ Umiliki: Hati ya Serikali ya Mtaa.

πŸ’° Bei: TZS Milioni 165
Mazungumzo yapo kwa mnunuzi mwenye nia ya dhati.

πŸ“ž 0769554221
πŸ“Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestatemarket #realestateagent #tanzania nia

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Fani City, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 165,000,000

For Sale3 beds800 sqmapartment
  • Maji

  • Umeme

  • Paving Blocks

Apartment inauzwa Kigamboni Mikwambe, Dar Es Salaam

Sh. 165,000,000

For Saleapartment
  • Karibu na Maduka

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni, Kisota, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

For Sale2 bedsapartment
  • Uzio

  • Kisima

  • Ardhi Iliyopimwa

Apartment ya vyumba 7 inauzwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 250,000,000

For Sale7 beds600 sqmapartment
  • Karibu na Barabara ya Lami

Apartment ya vyumba 7 inauzwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 250,000,000

For Sale7 beds600 sqmapartment
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

For Sale3 bedsapartment
  • Karibu na Barabara ya Lami

Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam

Sh. 45,000,000

For Sale3 bedsapartment
  • Karibu na Barabara ya Lami

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni Kisota, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 165,000,000

For Sale2 beds400 sqmapartment
  • Hati

  • Uzio

Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Kisota, Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

For Sale3 bedsapartment
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kibugumo, Kigamboni, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 75,000,000

For Sale2 beds600 sqmapartment
  • Maji

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kibugumo, Kigamboni, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 75,000,000

For Sale2 beds600 sqmapartment
  • Karibu na Barabara ya Lami

Apartment ya chumba kimoja inauzwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam (300 sqm)

Sh. 59,000,000

For Sale1 bed300 sqmapartment
  • Jiko

  • Sebule

Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Fani City, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 175,000,000

For Sale3 beds500 sqmapartment
  • Jiko

  • Sebule