Apartment inapangishwa Tabata Segerea Viwanja Vya Bank, Dar Es Salaam

Aina
Apartment
Barabara ya Karibu
1000m
Huduma na Sifa
Maelezo
NEW APARTMENTS ZA KISASA INAPANGISHWA ZIPO KWENYE FENCE TABATA SEGEREA VIWANJA VYA BANK
Bei: 200,000/Per Month
Payment Terms: 6 Months in Advance
____________________________________
📍Malipo ya Dalali ni ya Mwezi 1
📍Service Change:20,000
📍LOCATION: TABATA SEGEREA VIWANJA VYA BANK
DAR ES SALAAM-TANZANIA
📍DISTANCE- Boda Boda 1000 kutoka Stand
➡️PROPERTIES OF THE HOUSE 🏠#MPYA
__________________________________
📍Chumba Master na Sebule
📍Jiko safi
📍Mafeni
📍Public toilet
📍Space parking Car
📍Peving block
➡️ITS SERVICES
________________
📍Maji dawasco 24hrs
📍Reserve water tank
📍Umeme unajitegemea
✅New Apartments ya kisasa zipo katika mazingira Tulivu Usalama wa uwakika
Kwa Mawasiliano Zaidi
Calls:
06595O7709















