Apartment inauzwa Mikwambe, Dar Es Salaam (600 sqm)
Mikwambe, Dar Es Salaam
27 days ago
Sh. 175,000,000
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
APARTMENT ZINAUZWA KIGAMBONI MIKWAMBE FANCTY MILIONI 175M APARTMENT ZIPO 4 KIWANJA SQMT 600 UMBALI KILOMITA MOJA KUTOKA BARA BARA KUU YA LAMI MTAA WAKISHUA SANA TAJIRI MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA NJOO TUMALIZE BIASHARA CALL , KWAMAELEZO ZAIDI PIGA CM









