Apartment ya vyumba vinne inauzwa Kisota Ushuani, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Kisota, Dar es Salaam
21 days ago
Sh. 380,000,000
Huduma na Sifa
Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
🏢 APARTMENT ZA KISASA ZINAUZWA – KIGAMBONI KISOTA USHUANI
Zinauzwa apartment mbili za kisasa, zenye muundo mzuri na ziko katika eneo tulivu na lenye maendeleo.
🔹 Sifa za nyumba:
* Vyumba 4 vya kulala
* Sebule kubwa
* Dining (eneo la kulia chakula)
* Jiko la kisasa
🔹 Eneo:
* Ukubwa wa eneo: SQM 1000
* Zipo Kisota Ushuani, Kigamboni
* Zimegusa barabara mpya ya lami
🔹 Nyaraka:
* Hati halali
💰 Bei: Tsh Milioni 380
🤝 Maongezi yapo
📞0769-554-221
#trendingvideos #istagram #tanzania🇹🇿 #realestateforsale #trendingnow
