Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata Kinyerezi Kifuru, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

3

Awali

Inaruhusiwa

Huduma na Sifa

Parking Space
Maji
Tanki la Maji
Karibu na Barabara ya Lami
Stand Alone Property

Maelezo

Stand alone) Hii apartment inayojitegemea yenyewe ndani ya fence inapangishwa bei 500000 kwa mwezi kodi kianzia miezi 6, ina vyumba 3 vya kulala chumba kimojawapo master bedroom, sebule kubwa, dining room, jiko kubwa, reserve water tank, parking, hii apartment ni ya pili kutoka lami, Location tabata kinyerezi kifuru dar es salaam

Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service survey charge tsh 20000
Malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii