Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba Centre, Dar Es Salaam

Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 2-Bedroom Apartment for Rent – TZS 800,000 📌 Full Ac
✨ Furahia maisha mazuri Goba Centre katika apartment yenye huduma za kipekee! ✨
📌 Maelezo ya Nyumba:
✅ Vyumba 2 (1 Master)
✅ Sebule kubwa
✅ Jiko zuri lenye makabati
✅ Public Toilet
✅ Makabati kwenye Vyumba
📍 Mahali:
📌 Goba Centre – Nyumba ipo umbali wa 1km kutoka barabara kuu
🎁 Huduma za Bure:
✅ Maji bure
✅ Ulinzi bure (24/7)
✅ Huduma ya taka bure
✅ Free internet 🛜
📌 Huduma Nyingine:
✔ Parking inapatikana
✔ Full AC
✔ Heater available
💰 Masharti ya Malipo:
📌 Kodi: TZS 800,000 kwa mwezi
📌 Malipo: Miezi 6
💰 Gharama Nyingine:
🔹 Service charge: TZS 30,000 (inalipwa mara moja tu)
🔹 Gharama ya udalali: Kodi ya mwezi mmoja
📞 Kwa mawasiliano zaidi:
📲 Piga/WhatsApp: +255692932076
