Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba Shule, Dar Es Salaam







Maelezo
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #250K
Vyumba 2 vya kulala sebule jiko na public toilet hakuna master
Bei 250,000 kwa mwezi ×6
Inajitegemea umeme na maji
Umbali Km 1.5 lami mpaka mlangoni
Ndani ya fence parking ipo
Site visit 20,000/=















