Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam







Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
1 month ago
Sh. 250,000 per month
Aina
Apartment
Vyumba
2
Bafu
2
Huduma na Sifa
Sebule
Jiko
Luku Inajitegemea
Maji
Parking Space
Karibu na Barabara
Maelezo
🇹🇿 #APARTMENT SAFI INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE – KARIBU NA BARABARA KUU
📍 Kimara Korogwe
🕒 Umbali wa Dakika 3 tu. Kutembea toka Mwendokasi jilani sana na barabara kuu.
#SIFA ZA NYUMBA
🔹 Vyumba viwili, Kimoja Master
🔹 Sebule
🔹 jiko
🔹 Choo cha familia cha ndani
🔹 Umeme _ (inajitegemea)
🔹Maji yanapatikana ndani masaa 24/7
🔹 Fence hamna & Parking Kubwa
👉 Nyumba hii inafaulishwa inakuwa wazi tarehe 28/02/2026 kuona ndani na kufanya malipo luksa kabisa.
🔸 Kodi Tsh 250,000/= ×5 (Miezi mitano )
🔸 Malipo ya Dalali Tsh 250,000/=
🔸
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347
