Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam

Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
1000m
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA 1000
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa.
Jiko la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
----------
Service charge 20 \\\/=
Kodi 300,000\\\/=×6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.
SIMU 0659336751 WSP 0786085637















