Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Kinyerezi Kibaga Zabika, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 350,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

2

Huduma na Sifa

Umeme
Luku Inajitegemea
Maji
Mita ya Maji Inajitegemea

Maelezo

Hii apartment nzuri sana inapangishwa bei 350000 kwa mwezi kodi kianzia miezi 6, ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo self contained, sebule, jiko, umeme na maji unajitegemea, hapa kuna apartment 3 tu ndani ya fence, Location tabata kinyerezi kibaga zabika dar es salaam

Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service survey charge tsh 20000
Malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii