Tafuta
-
-

Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kibugumo Kigamboni, Dar Es Salaam (900 sqm)

video thumbnail
Sh. 350,000,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

2

Ukubwa

900 SQM

Barabara ya Karibu

13km

Huduma na Sifa

Hati
Tiles
Makabati
Modern Houses
Fenced
Self Contained Units

Maelezo

APARTMENT-SITA(6) PAMOJA,TSHS.350 MILIONI,KIBUGUMO KIGAMBONI.

Umbali wa kilomita 13 tu kutoka
FERRY-KIGAMBONI.

Nyumba nzuri za Kisasa ndani ya Fensi.
Kila moja inajitegemea.
@ Vyumba 2 vya kulala (Masta 1) Sebule,
Jiko, Dining-room na Choo cha Familia ndani.

Kiwanja SQM.900.
UMILIKI ni HATI (Title Deed) ya Wizara.

Kodi kila Nyumba kwa Mwezi ni Tshs.500,000.
Makusanyo ya JUMLA,
KILA MWEZI ni TSHS.3 MILIONI.

NJOO UWAHI KUWEKEZA.

_______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_______________UkO