Apartment ya vyumba viwili inauzwa Mabwepande Polisi, Dar Es Salaam (420 sqm)

Mabwepande, Dar Es Salaam
10 hours ago
Sh. 168,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT MPYA KABISA FOR SALE!
Hizi ni Nyumba ambazo hazijakaliwa kabisa na mpangaji, Unaweza kufanya makazi au Biashara (Ukapata Kodi ya mwezi kuanzia 450,000tsh/Mwezi)
- Hapa kuna Apartment Tatu (2) zilizopo kwenye kiwanja cha QSM 420
- Wekeza : TZS 168 Millioni (Kupata Apartment zote)
- Location : Mabwepande Polisi
Wekeza Leo, Uwe Baba/Mama Mwenye nyumba.
Tupigie simu
0789100100 au 0675200300
📍Ofisi zetu zipo tegeta azania Chief House ghorofa ya kwanza.
SITE VISIT:
MON - SUN | SAA 2:00 ASB - SAA 11:00 JIONI





