Beach Plot kinauzwa Kiomba Mvua, Zanzibar

Aina
Beach Plot
Barabara ya Karibu
300m
Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA/BOMA KINAUZWA KIOMBA MVUA UPANDE WA PWANI/BEACH
#unguja #zanzibar
Umbali mpaka barabarani Mita 300
Umbali mpaka Beach/Pwani Mita 700 (Eneo la Kiwanja Bahari unaiona hata ukijenga nyumba ya kawaida ambayo sio ghorofa)
Bei 15.5m Milioni kumi na tano na laki tano
Kiwanja Ft 57x55
What’s App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake















