Beach Plot kinauzwa Makunduchi, Zanzibar - Unguja South (9800 sqm)







Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA MAKUNDUCHI
#unguja #zanzibar
Umbali mpaka Beach/Pwani Mita 350
Umbali mpaka Barabarani Mita 100
Njia Upande 1
Ukubwa wa Kiwanja Mita 100x98
Bei Tsh 65m
NB: Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na video picha za kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni Mita 400
What’s App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake















