Beach Plot kinauzwa Matemwe, Zanzibar









Aina
Beach Plot
Barabara ya Karibu
60m
Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA/BANDA KINAUZWA MATEMWE
#unguja #zanzibar
Kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani Mita 150 ðŸ«
Umbali mpaka Barabarani Mita 60 🫣
Ukubwa wa Kiwanja Ft 59x46
Bei Tsh 23 Milioni ishirini na tatu
NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani Mita 150
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake






