Tafuta

Beach Plot kinauzwa Mjimwema, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Sh. 220,000,000

Aina

Beach Plot

Beach Plot for sale in Mjimwema

Ukubwa

2500 SQM

Barabara ya Karibu

1km

Huduma na Sifa

Maelezo

KIWANJA CHA UWEKEZAJI KINAUZWA – KIGAMBONI, MJIMWEMA

Fursa ya kipekee ya kuwekeza katika eneo linalokua kwa kasi na lenye mahitaji makubwa ya miradi ya biashara na makazi.

πŸ“ Mahali: Kigamboni – Mjimwema

Sifa za Kiwanja

βœ… Ukubwa: SQM 2,500
βœ… Kimepimwa
βœ… Kina Hati ya Wizara
βœ… Kipo eneo la beach front, chenye mandhari nzuri na thamani kubwa ya uwekezaji.

Umbali

πŸ“ Kilomita 1 kutoka barabara ya lami
πŸ“ Kilomita 7 kutoka Feri
πŸ“ Kilomita 8 kutoka Daraja la Nyerere

Kinakufaa Kwa:

🏨 Hotel au Resort
πŸ–οΈ Airbnb / Holiday Villas
🏒 Apartment za kupangisha
🏠 Guest House
🍽️ Mgahawa wa ufukweni au sehemu nyingine yoyote ya uwekezaji wa thamani.

πŸ’° Bei: TZS Milioni 220 (mazungumzo kidogo yapo).

πŸ“ž
πŸ“Servece Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Dalali Kigamboni mbavu

dalali__kigamboni_mbavu

@dalali__kigamboni_mbavu

View Listings
Dalali Kigamboni mbavu