Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Kinyerezi Mahakamani, Dar Es Salaam (1800 sqm)

Aina
Kiwanja (Commercial Plot)
Ukubwa
1800 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
🏢🔥 KIWANJA CHA BIASHARA KINAUZWA – KINYEREZI MAHAKAMANI 🔥🏢
Hii ni fursa adhimu kwa mwekezaji makini!
📍 Location: Kinyerezi Mahakamani
✅ Kinapakana na barabara (alama kipande)
✅ Ndani ya fence
✅ Eneo tambarare
✅ Ukubwa: SQM 1,800
✅ Kina Hati Miliki
💰 Bei: Milioni 300
🌟 Kinafaa kwa:
🏢 Apartments
🏘️ Villas
🏨 Hoteli
⛪ Kanisa
🏬 Miradi mbalimbali ya kibiashara
📌 Faida ya Location:
✔ Karibu na soko
✔ Karibu na Mahakama ya Wilaya ya Ilala
✔ Karibu na Kinyerezi Park
✔ Karibu na The Voice
✔ Eneo limechangamka sana kibiashara
Hii ni sehemu yenye movement kubwa ya watu na shughuli — uwekezaji wako hapa haukosei.
MUHITAJI PIGA +255688412890.
Karibu sana ndugu mteja tufanye biashara 🤝
Dalali wako Wakishua 🏡✨




















