Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Morocco Mataa, Dar Es Salaam (4270 sqm)

Morocco, Dar Es Salaam
21 days ago
$ 2,300,000
Aina
Kiwanja (Commercial Plot)
Ukubwa
4270 SQM
Barabara ya Karibu
2km — Bagamoyo Road
Huduma na Sifa
Maelezo
_*DAR ES SALAAM NI MOROCCO MATAA TU*_
_*PLOT NZURI SANA MOROCCO MATAA SQMT 4,270 NDO KUBWA KULIKO ZOTE PALE MOROCCO MATAA
PRICE $2.3m ANASEMA YEYE KWA BEI HII ATAKAA NA AGENT TU.
ANA KIBALI CHA UJENZI WA GHOROFA 20 KIPO HAI*_
_*ILA NI PAZURI SANA KWA KUJENGA VILLA NK.*_
_*UKIWA UNAELEKEA MWENGE BAADA YA SHEL YA MOROCO TU*_
_*NYUMA YAKE KUNA MTAA WA LAMI UMEINGIA PLOT INATIZAMA HIYO LAMI
NI PLOT YA PILI KUTOKA MEN ROAD YA BAGAMOYO ROAD INAYOELEKEA MWENGE.
MMILIKI NI MMOJA*_
KARIBU SANA
KWENDA SAIT ELF 50TH CONTACT 0755 454 251 0688 262 000 0715 423 267 🇹🇿 MR BOSS REAL ESTATE AGENT TANZANIA 🇹🇿
NAWAPENDA SANA
