Duka linapangishwa Sinza Mori, Dar Es Salaam

Sinza, Ubungo, Dar Es Salaam
2 days ago
Sh. 200,000 per month
Aina
Duka
Maelezo
FRAME NAFUU INAPANGISHWA – SINZA MORI
📍 Sinza Mori
💰 Bei: 200,000/= kwa mwezi
🔥 Bei ya chini sana – nafasi adimu!
✔️ Inafaa kwa biashara ndogo ndogo (saluni, duka, ofisi n.k)
✔️ Eneo lenye watu wa kutosha kwa biashara
✔️ Mazingira salama na rahisi kufikika
📌 Malipo: miezi 6
📌 Viewing: 20,000 – 30,000
📌 Dalali: mwezi mmoja
📞 Wasiliana: 0678512666
