Tafuta

Shamba linauzwa Kibaha Misugusugu, Pwani (15436 sqm)

Sh. 870,000,000

Aina

Shamba

Farm for sale in Misugusugu

Ukubwa

15436 SQM

Barabara ya Karibu

800m — Morogoro Road

Huduma na Sifa

Maelezo

Eneo hilo linauzwa lipo Kibaha Misugusugu

lina ukubwa wa sqm 15,436

sawa na Heka4 kasoro kidogo sana

kutoka barabara kubwa ya Morogoro Road mpaka lilipo hili eneo ni mita 800

eneo hili limezungushiwa fensi baadhi na sehem iliyobaki imezungushiwa senyenge

ndani kuna nyumba za wafanyakazi na Banda kubwa la ufugaji wa kuku

umeme upo,maji yapo na kisima kikubwa.

mmiliki ni mmoja

na lina Hati ya kisasa ya wizara

mwenyewe anauza mil 870

kwa bei hii anayouza na eneo mahali lilipo yani ni sawa na bure

mwenyewe ameamua kufanya bei hiyo ili apate pesa kwa haraka

kazi hii ni nzuri sana na imenyooka

haina konakona kukagua mda wowote hakuna masharti

Karibu mwekezaji

CALL,WHAT'S APP

Dalali Atanas Tz

dalaliatanas

@dalaliatanas

View Listings

Matangazo mengine Misugusugu, Pwani

Shamba linauzwa Kibaha Misugusugu, Pwani (1 acre)

Sh. 1,000,000,000

For Sale1 acreNegotiable
Shamba linauzwa Kibaha Misugusugu, Pwani (17.84 acre)

Sh. 2,000,000,000

For Sale17.84 acreNegotiable
Shamba linauzwa Kibaha Misugusugu, Pwani (17.84 acre)

Sh. 2,000,000,000

For Sale17.84 acreNegotiable
Dalali Atanas Tz