Shamba linauzwa Kikwe Dashiri, Arusha (3 acre)

Kikwe, Arusha
3 hours ago
Sh. 45,000,000/acre
Huduma na Sifa
Maelezo
š„ ARDHI YENYE TIJA KIKWE DASHIRI! š„
Je, unatafuta eneo zuri la kuwekeza? Tunauza Shamba lenye ukubwa wa HEKA TATU (3) lililopo eneo la Kikwe Dashiri.
š Eneo: Kikwe Dashiri (Umbali wa Kilomita 4 tu kutoka Barabara kuu ya Lami ya East Africa).
š° Bei: Tsh 45,000,000 kwa Heka moja.
Eneo hili linafaa sana kwa kilimo, ufugaji, au uwekezaji wa muda mrefu kutokana na ukaribu wake na miundombinu.
Wasiliana nasi sasa kwa hatua zaidi:
š 0627779772
š¢ InnoPlot



