Shamba linauzwa Mkuranga, Pwani (2 acre)


Mkuranga, Pwani
6 hours ago
Sh. 5,500,000/acre
Huduma na Sifa
Umeme
Karibu na Barabara ya Lami
Hati ya mauziano
Maelezo
TAFADHALI SOMA HADI MWISHO
Shamba linapatikana MWARUSEMBE MKURANGA
Lipo km 2 kutoka lami
Shamba lina mazao ndani MIEMBE, MINAZI, MIKOROSHO NA MANANASI
Limezungukwa na makazi ya watu
Heka 1 Tsh 5.5 milioni na lina heka 2
Jumla Tsh 11,000,000
Document: hati ya mauziano
Umeme na maji yapo karibu
Kutembelea site tupigie au whatsapp
gharama ya site visit Tsh 40,000













