Tafuta
-
-

Shamba linauzwa Monduli, Arusha acre 4.3

video thumbnail
Monduli, Arusha
2 hours ago
Sh. 160,000,000

Ukubwa

4.3 ACRE

Huduma na Sifa

Maelezo

Heka 4.3 zinauzwa. Shamba lipo Monduli linagusana na barabara ya Arusha-Dodoma karibu na Monduli Jeshini. Lina mabanda makubwa ya kufugia na nyumba ya room mbili (haijapauliwa). Eneo linafaa kwa ufugaji, shule, hospitali, godown, kiwanda nk. Shamba limerasimishwa na lina hati ya kimila isiyokua na ukomo. BEI NI MILIONI 160