Shamba linauzwa Mwarusembe, Pwani (1 acre)
Mwarusembe, Pwani
3 days ago
Sh. 4,500,000/acre
Huduma na Sifa
Umeme
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
Ukubwa shamba heka 1
MKURANGA MWARUSEMBE
Umbali kutoka lami KM 2
Umeme na maji yapo karibu
Bei Tsh milioni 4.5
Kuoana shamba Tupigie
Gharama ya site Visit 40,000







