Frame ya Biashara inapangishwa Mwenge Stand, Dar Es Salaam

Aina
Frame ya Biashara
Huduma na Sifa
Maelezo
🗣INAPANGISHWA FREM _ 📍MWENGE STAND
Kodi 400,000/= kwa mwezi
Malipo miezi 6
💵Service Charge 30,000\=
📍Eneo MWENGE STAND
✅Inatizama Lami
✅Umeme unajitegemea
✅Eneo lenye mzunguko wa watu ni mkubwa
✅Inafaa kwa biashara\Ofisi Mbalimbali




















