Godown/Ghala linapangishwa Pugu Kajiungeni, Dar Es Salaam

Aina
Ghala
Ukubwa
500 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
GO-DOWN/GHALA SQM.500,TSHS.MIL. 1/MWEZI PUGU KAJIUNGENI.
Linaangalia Barabara kuu ya Lami.
Lina Ofisi, Umeme na ni Ndani ya Fensi.
Tunapangisha kuanzia Mwaka mmoja na Kodi ilipwe yote meanzo.
Wahi uweke Biashara yako hapa.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni KODI YA MWEZI MMOJA.
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MPANGAJI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________tp




















