Hoteli inauzwa Ukonga, Dar Es Salaam (400 sqm)

video thumbnail
Sh. 850,000,000

Vyumba

10

Ukubwa

400 SQM

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara
Karibu na Barabara ya Lami
Bar
Two Counters

Maelezo

LODGE NA BAR BARABARA KUU,TSHS.850 MILIONI, UKONGA.

Jengo lipo Kibiashara,
Linajiuza, Linavutia na linaiangalia Barabara ya PUGU.

Lodge ina jumla ya Vyumba 10 vya kulala (Vyote Masta)

KAUNTA zipo Mbili, JUU NA CHINI.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM.400.
HATI (Title Deed) ya Wizara ipo.

Hapa unanunua na Kurekebosha vitu vichache tu na unaanza Kazi kwa Jina lako la Biashara.

________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

________________mpg