Nyumba inapangishwa Madale, Dar Es Salaam




Madale, Ubungo, Dar Es Salaam
3 months ago
Sh. 250,000
Aina
Nyumba
Maelezo
Chumba kinapangishwa.
Kina sebule, jiko na choo.
Umeme na maji
Kinajitegemea
ipo Madale Flamingo
Bei 250,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
Service Charge 20,000
