Nyumba inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam


Wazo, Kinondoni, Dar Es Salaam
4 months ago
Sh. 1,000,000
Aina
Nyumba
Maelezo
Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta Wazo
Ina Vyumba Vinnie vya kulala, Viwili ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni Million 1 laki 5
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744
