Nyumba inauzwa Bombambili Songea, Ruvuma
ID: 260905NLKSXBombambili, Ruvuma
10 hours ago
Sh. 35,000,000
Huduma na Sifa
Views Road
Maelezo
NYUMBA YA KUBORESHA INAUZWA
Location, Bombambili Songea
Nyumba imejengwa zamani ila ni bado imara na unaweza iboresha ikawa ya kisasa kwa matumizi ya kupangisha na kuishi pia
Nyumba pia ina wapangaji ndani yake na ina eneo kubwa sana la nje na inatazama barabara ya mtaa
Documents, Zote halali zipo
Bei million 35 tu
Maongezi yapo
Kwenda site 10000
Kwa maelezo zaidi gusa link hiyo chini👇
https://wa.link/8irs4n
CALL& WHATSAPP
SAVE DALALI SMART SONGEA 🤳



