Nyumba inauzwa Buguruni Sheli, Dar Es Salaam (691 sqm)

Buguruni, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 750,000,000
Aina
Nyumba
Ukubwa
691 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
HOUSE FOR SALE/INAUZWA
Ni nyumba mbili kwa moja
Zote ni za mtu mmoja
Na zote Zina mageti yake ya kuingilia yametofautishwa
Pia Kuna frem Tano ambazo zote Zina wapangaji
Ukubwa wa eneo ni square meter 691
Bei ni sh Milioni 750
Lkn pia kama ukitaka tukuuzie nyumba moja kati ya hizo mbili ni sawa njoo tutakuuzia
Ipo sehemu nzuri sana hata ghorofa unajenga
Kila nyumba Ina geti lake na parking yake ya ndani
Location BUGURUNI SHELI
0712265331 call/whatsap
Call me MR JAMBALAGA aka SENIOR


