Nyumba inauzwa Isamilo, Mwanza




Aina
Nyumba
Ukubwa
1400 SQM
Maelezo
Picha/video zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711
Nyumba zipo lami kabisaaa isamilo mjini katikati..
Zipo nyumba tatu ndani ya fensi moja..
Zinauzwa milioni 380 pesa faster
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1400
Pana hatimiliki kabisa..
Panafaa sana uwekezaji kama Apartments, hotel, maofisi, ukumbi, na unaweza kujenga bonge la ghorofa kali kinoma yenye kila kitu!
Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711 @ourdalali_real_estate_limited





