Nyumba inauzwa Kinondoni MKWAJUNI, Dar Es Salaam

Kinondoni, Kinondoni, Dar Es Salaam
11 days ago
Sh. 55,000,000
Aina
Nyumba
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Maelezo
NYUMBA INAANGALIA LAMI YA MTAA,TSHS.55 MILIONI,KINONDONI.
Eneo ni Kinondoni MKWAJUNI.
Ni nyumba ya KIZAMANI.
Hapa unaweza;
●Kuendelea kuchukua Kodi,
●Kuiboresha ili Kuchuma Kodi zaidi,
●Kuweka Makazi yako au
●Kuipiga chini na kuweka Jengo la kisasa la Apartments au Maofisi.
Nyumba inaangalia Barabara yenye Lami ya Mtaa.
Na si mbali na Barabara kubwa.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________ryt
