Tafuta

Nyumba inauzwa Magomeni Morocco, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 350,000,000

Aina

Nyumba

House for sale in Magomeni

Ukubwa

385 SQM

Barabara ya Karibu

2m — Kawawa Road

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara

Maelezo

Nyumba hiyo inauzwa ipo Magomeni Morocco Hotel mtaa wa Kisangiro inaukubwa wa sqm 385 ni nyumba ya pili kutoka barabara kubwa ya Kawawa Road mtaa wake umechangamka sana kwa biashara mmiliki ni mmoja na ina Hati ya kisasa ya wizara mwenyewe anauza ml.350Tsh maongezi yapo kidogo jamani kwa bei hii na nyumba mahala ilipo inatupwa mwenyewe ameamua kufanya bei hiyo ili apate ela kwa haraka kazi hii ni nzuri sana tena sana na imenyooka haina konakona kukagua mda wowote hakuna masharti

#0760097834_call

Matangazo mengine Magomeni, Dar Es Salaam

Nyumba inauzwa Magomeni, Dar Es Salaam

Sh. 330,000,000

For Sale300 sqmhasTitleDeed
Nyumba inauzwa Magomeni, Dar Es Salaam

Sh. 330,000,000

For Sale300 sqmhasTitleDeed
Nyumba inauzwa Magomeni Kagera, Dar Es Salaam

Sh. 180,000,000

For SalehasTitleDeed
Nyumba inauzwa Magomeni Mikumi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

For Sale370 sqm
Nyumba inauzwa Magomeni Mikumi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

For Sale370 sqm