Nyumba inauzwa Mtoni Stendi ya Shamba, Dar Es Salaam

Mtoni, Dar Es Salaam
27 days ago
Sh. 50,000,000
Maelezo
Nyumba 2 kwa bei ya milioni 50 tu! 🔥
Zipo Mtoni stendi ya Shamba kwenye kiwanja kimoja – fursa adimu kwa mwekezaji au familia!
✔️ Njoo site ujionee mwenyewe
✔️ Mazungumzo yapo
✔️ Eneo zuri na linaendelea kukua
Usikose nafasi hii!
📞 Piga simu: 0683 665504
Haraka kabla haijaondoka! 💨






