Kiwanja (Industrial Plot) inauzwa Kerege Matumbi, Pwani (6000 sqm)

Kerege, Bagamoyo, Pwani
9 days ago
Sh. 400,000,000
Aina
Kiwanja (Industrial Plot)
Ukubwa
6000 SQM
Huduma na Sifa
Hati
Ardhi Iliyopimwa
Mawe
Godauni
Park Ya Magari
Super Market
Maelezo
Eneo la barabarani linauzwa bagamoyo
Location: Kerege matumbi
__
Kiwanja kimepimwa kuna mawe
Ukubwa wa kiwanja sqm 6000
__
Eneo nzuri sana kwa matumizi ya kiwanda, godauni, park ya magari, super market,
__
Document: Hati miliki bado aijatoka mteja atayonunua hati miliki inatoka kwa jina lake
__
Service chaji elfu 40
Bei: 400 milioni
__
Site visit ni kila siku unapopata muda tu piga simu utapelekwa site
CALL AND WHATSAPP +255713928950
#dalali_bagamoyo
#bagamoyoproperty
#realestatetanzania
