Tafuta

Kiwanja (Industrial Plot) inauzwa Kigamboni NSSF, Dar Es Salaam (56000 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 6,000,000,000

Maelezo

Eneo hilo kubwa linauzwa lipo Kigamboni NSSF

lina ukubwa wa sqm 56,000.sawa na Heka 14

lina tizama barabara Kubwa

na lina tizamana na Kiwanda cha rangi

mmiliki ni mmoja

na lina Hati ya kisasa ya wizara

mwenyewe anauza Bil 6

Na mwenyewe alishaanza kumwaga vifusi ili aanze ukarabati lakini ameamua kuuza

eneo hili ni zuri sana tena sana

maana limepakana na mayard ya Wachina na Wasomali

kazi imenyooka sana haina konakona kukagua mda wowote hakuna masharti

DALALI MALKIA UKONGA

malkia_used_point

@malkia_used_point

View Listings

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam

DALALI MALKIA UKONGA