Tafuta

Kituo cha Mafuta kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam (4 acre)

video thumbnail
$ 60,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Six Tanks
Forty Million Litres Capacity
Fuel Depot

Maelezo

🚨⛽ DEPOT YA MAFUTA INAUZWA – KIGAMBONI 📍🔥

💰 BEI: DOLA MILIONI 60 (USD 60,000,000)

😮‍💨 Mkuu…
Fursa kama hizi haziji kila siku sokoni.
Tunakuletea DEPOT KAMILI YA MAFUTA iliyopo Kigamboni, moja ya maeneo yenye ukuaji mkubwa wa biashara na miundombinu Tanzania.

📍 ENEO: KIGAMBONI
✅ Heka 4
✅ Matanki 6
✅ Uwezo wa kuhifadhi lita milioni 40
✅ Miundombinu kamili
✅ Njia bora za usafiri
✅ Umiliki sahihi na hati safi
🔥 Hii ni fursa adimu kwa:
✔️ Kampuni za mafuta
✔️ Wawekezaji wakubwa
✔️ Makampuni ya logistics
✔️ Strategic energy investors
📈 Depot ya aina hii siyo mali ya kawaida, ni asset inayoweza kuzalisha thamani kwa miaka mingi ijayo.
⚠️ Serious Investors Only.

📌 GARAMA YA KUPELEKWA: 100K
☎️📞 0625584914

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam

Kituo cha Mafuta kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,700,000,000

For SalepetrolStation
Kituo cha Mafuta kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,700,000,000

For SalepetrolStation
Kituo cha Mafuta kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,700,000,000

For SalepetrolStation
Kituo cha Mafuta kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,700,000,000

For SalepetrolStation