Kituo cha Mafuta kinauzwa Nyanguge, Mwanza (2003 sqm)

Nyanguge, Mwanza
25 days ago
Sh. 55,000,000
Aina
Kituo cha Mafuta
Ukubwa
2003 SQM
Huduma na Sifa
Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
KIWANJA CHA KUJENGA KITUO CHA MAFUTA ( PETROL STATION ) KINAUZWA NYANGUGE
-Kiwanja kimetazama barabara kuu ya lami mwanza - musoma road
-Ukubwa wa kiwanja ni 2,003 SQM
-kina hati miliki ya wizara
-Matumizi ya kiwanja ni PETROL STATION
-Bei Ni Mil 55
-Maongezi yapo
📲 0743220097




