Kiwanja cha Pwani kinauzwa Pongwe ya Uroa (999 sqm)







Aina
Kiwanja cha Pwani
Ukubwa
999 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA PONGWE YA UROA KIPO BAADA YA HIFADHI YA BARABARA
#unguja #zanzibar
Umbali mpaka Beach/Pwani Mita 500
Kipo Upande wa Beach/Pwani
Ukubwa wa kiwanja Mita 27x37
Bei Tsh 6 Milioni sita
NB: Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na video picha za kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni mita 500
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake

















