Tafuta
-
-

Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Kibaha kwa Mfipa, Pwani (2500 sqm)

video thumbnail
Sh. 75,000,000

Aina

Kiwanja (Commercial Plot)

Ukubwa

2500 SQM

Barabara ya Karibu

1km — Morogoro Road

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

Eneo lipo kibaha kwa mfipa km 1 kutoka lami ya morogoro road sqm 2500 limekamata barabara ya mtaa unaweza Jenga maduka hapa kufanya biashara mbalimbali ni nusu heka iliyozidi milioni 75 maongezi yapo. 0714539608