Kiwanja (Commercial Plot) kinauzwa Kibamba Hospitali, Dar Es Salaam (1280 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA SQM.1280 KINA FREMU 4,TZS.65 MILIONI, KIBAMBA-HOSPITALI.
Hiki Kiwanja ni kikubwa.
Unaweza kujenga nyumba kadhaa na kuongeza Fremu za Biashara zaidi.
Mtaa mpana na Panajengeka kwa kasi.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
___________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
____________________mpg















